9 HEALTH BENEFITS OF ORANGE
Friday, May 18, 2012
Oranges are available from winter through summer. They can be sweet, bitter and sour depending on their variety. Oranges are a good source of Vitamin C and flavonoids. They are also rich in Vitamin A, B complex vitamins, amino acids, beta carotene, pectin, potassium, folic acid, calcium, iodine, phosphorus, sodium, zinc, manganese, chlorine and iron.
Health Benefits of Oranges Are:
• Oranges are a very good source of Vitamin C which is an antioxidant. This helps to fight against the free radicals in the body so helps to avoid many diseases. Vitamin C is also required for the healthy tissues and immune system and it is also required for the absorption of iron and for preventing recurrent cold and cough.
• Oranges contain good amount of fiber which helps to maintain the blood sugar levels and it contains natural fruit sugar fructose which helps to maintain blood sugar level after eating it. Fiber also helps to reduce high cholesterol levels thus preventing the condition called as atherosclerosis. Fiber also helps to prevent constipation.
• Oranges also contains folate which is required for the healthy cell production in the body and lowering the levels of homocysteine which is beneficial for avoiding the heart diseases Plus it contains potassium which also help to lower down the high BP so we can say that oranges are good for heart health.
• Researches show that orange helps to lower the risk of gastric ulcers.
• As oranges are rich in antioxidants so helps to minimize the signs of aging.
• Oranges have a phytochemical known as zeaxanthin which helps to avoid inflammations and useful to prevent rheumatoid arthritis.
• Oranges contain good amount of Vitamin A which is helpful for a good immune system, avoids many cancers, good for eyes, skin and hair
• Orange is low in calorie, fats and contains no cholesterol and rich in dietary fiber Pectin. Pectin acts as a bulk to the stools, helps to protect the colon and bind the cancer causing chemicals in the colon.
• Because of low fat content oranges are great foods for weight loss. They can also be given to the diabetics as they maintain the blood sugar levels in the body.
So from the above health benefits we can see that an orange is not only rich source of Vitamin C but also gives some other important health benefits which are required for the daily bodily functions. It can be taken in any form like in juice or fruit; it can be used in salads also. So we should include them in our diet to obtain the maximum health.
NENO LA MUNGU NI SILAHA
Imeandikwa mpingeni shetani naye atawakimbia. Na silaha pekee ya kumshinda ni upanga unaokata kuwili ambao ni neno la Mungu pekee. Yesu mwenyewe alitumia upanga huu wa neno la Mungu (Mathayo 4:4-11) tunatakiwa kunoa huu upanga kwa kusoma neno la Mungu mara kwa mara ili neno hili likae kwa wingi mioyoni mwetu. Na kila tunalopitia katika maisha yetu, iwe furaha au huzuni, lipo neno maalum ambalo limeandikwa katika bibilia tunatakiwa kusimamia. Na ukiweza kugundua siri hii kila litakalotokea katika maisha yako utakua hauna shaka bali utasema tu imeandikwa, kila jambo lina wakati wake, imeandikwa kwa kupigwa kwake tumepona, imeandikwa amebarikiwa mtu yule amtegemeaye Bwana nk.
Wengi tunatumia nguvu nyingi sana kumpinga shetani wakati yeye ni kijitu kidogo sana ambacho ukitumia silaha ya neno la Mungu tu huna haja ya kujichosha badala yake hizo nguvu zitumie katika kumsifu na kumwabudu Mungu ambaye anakaa katikati ya sifa!
Tuangalie mfano wa Yesu alipojaribiwa, alikua na uwezo wa kumtandika shetani makofi na kumharibu kabisa, lakini aliona hana sababu ya kujichosha wakati tayari Mungu ameweka upanga maalum wa kumuadhibu shetani ambao ni neno la Mungu pekee. Ndio maana kila Yesu alipojaribiwa alitumia neno "imeandikwa" mwisho wa siku shetani alimkimbia. Mungu akubariki wewe uliyesoma ujumbe huu!

KILA SEKUNDE KATIKA MAISHA YAKO NI YA THAMANI SANA!
Angalia sana jinsi unavyotumia muda wako, kwani kila sekunde ikishapita haiwezi kujirudia tena milele. Jitahidi sana kutenda mambo mazuri, kubuni vitu mbalimbali na pia kuwa mfano wa kuigwa kwa wengine ili hata baadae ukiwa haupo, watakaokuwepo waweze kujivunia mambo yako mazuri uliyoyafanya.
Wapo watu wengi sana ambao walifanya mambo ambayo sio mazuri na wakajisahau kabisa wakidhani kuwa muda umesimama kuwangoja, kilichowapata ni kwamba, walipokuja kushtuka wakaanza kujutia na kutamani kurudisha muda nyuma ili wajirekebishe kitu ambacho hakikuwezekana.
Pangilia muda wako vizuri, na utumie kila sekunde vizuri katika kujiletea maendeleo, kwani kuna msemo usemao "time is money"
Barikiwa!

Subscribe to:
Posts (Atom)